Tukio hili ambalo lilisimamiwa na kuasisiwa na kikundi cha MLIMANI YOUTH GROUP ambapo kwa sasa tukio hili litakuwa likitambuliwa kama MBEYA YOUTH EVENT ambapo kila mwaka litakuwa likiadhimishwa katika jiji la Mbeya kama mwaka huu linavyotambuliwa kwa jina la MBEYA YOUTH EVENT 2014
katika kufanikisha tukio hili ambalo kwa sasa ni tukio la vijana taasisi mbalimbali zimehusika kufanikisha kama kampuni ya uchukua video ya T-MOTION, blog ya MBEYA HOME OF TOURISM, asasi ya YWCA, YMCA, VIJANA MBEYA, FRESOWE,SKAUTI MBEYA,MBEYA LIVING LAB,upigaji picha na EGY BUSINESS SOLUTION,na kwaudhamini wa WAJIBIKA PROJECT MBEYA kubwa zaidi ni vijana wote waliotoka katika sehemu mbalimbali hili ni tukio lenu na kwa pamoja lione ni la kwako na ujipange kwa MBEYA YOUTH EVENT 2015, idadi ya vijana 79 wameshiriki tukio hili
Kazi ikaanza sasa ya kupanda na kauli mbiu "NITASIMAMA, NITATETEA, KIZAZI KIPYA CHA VIJANA UTHUBUTU UNAANZIA NYUMBANI"
Safari ndipo ilipoanza eneo la RETCO katikati ya jiji la mbeya
njiani vijana wa jiji la mbeya wakiicha rami
kwa pamoja vijana wakigawana matunda na kila mtu alipata
mwanzoni tuu mlima kila mshiriki ana hali ya kufika mwisho
wanasema unavyopanda mlima uchangamfu ni lazima wakina kaka wakitafakari jambo
mkurugenzi wa T-MOTIONS (ROBERT ELIAH) kwa nyuma na dada BUPE MLABWA
Team ya vijana kutoka MBEYA HOME OF TOURISM
Iliruhusiwa kuimba nyimbo ili mradi tuuu ufike mwisho
rahaaaaaaaaaaaa
hawa nao mlima na mapozi kibao ya picha
Team MAVUVUZELA kutoka MLIMANI YOUTH GROUP, hawatasaulika hawa
sehemu ya kwanza inaishia hapa msalabani ,jiandae kujifunza mengi kutoka kwa vijana wa jiji la mbeya
NB:
KWA TAASISI, MTU YEYOTE UNAEWEZA KUTUSAIDIA KWA AINA YOYOTE KUTOA MAONI, USHAURI, UDHAMINI, ILI KUENDELEZA TUKIO HILI KWANI TUNAHITAJI KULIWEKA KATIKA JARIDA, DVD,VIPEPERUSHI, NA NAMNA MBALIMBALI TUNAKUHITAJI , ILI LIWE BORA ZAIDI
Mawasiliano:email; MBEYAYOUTHEVENT2014@GMAIL.COM simu:ELLY BONKE 0764761900
No comments:
Post a Comment