YWCA WAJIBIKA PROJECT MBEYA, huu ni mradi unaosimami na YWCA TANZANIA
kwa kwa ufadhili wa KFUK KFUM YA NORWARY ambao kwa pamoja katika mkoa wa
Mbeya unasimamiwa na YWCA MBEYA ukiwa unatekeleza mambo makuu manne
ambayo ni utoaji elimu ya VICOBA(village community bank) na pia
UJASIRIAMALI, MAZINGIRA, PETS(public expenduture trucking system)
katika kufanya tukio la kimazingira tumeweza kuungana na vijana wa jiji la MBEYA katika
UPANDAJI MITI
UPAKAJI RANGI
ELIMU YA MAZINGIRA
MICHEZO KUHAMASISHA MAZINGIRA
Tukio la upakaji wa rangi lilifanyika katika shule ya mapinduzi ambapo
na upandaji miti ukafanyika, ndipo vijana wakatembelea ofisi zetu YWCA
MBEYA.
Baada ya kumaliza katika ofisi ya YWCA vijana tukaelekea viwanja vya
shule ya msingi Nzovwe kupanda miti katika shule ya JITEGEMEE na
NZOVWE,ndipo tukio zima la utoaji elimu na kushiriki michezo mbalimbali
ikaanza
JIONEEE MATUKIO YA KUTOSHA YA VIJANA WA JIJI LA MBEYA NA MRADI WA WAJIBIKA MBEYA
Elly Bonke, Eliud Samweli, Isah Nyambeke, pamoja na Brown wakikusanya miti bustani
CLIMATE JUSTICE, STOP POVERTY
wotee tukishirikiana tunaweza kubadilisha dunia
Ezekia akifundisha wengine namna ya kupaka rangi madirishani yaani ilikuwa kufundishana tuu
Unaona hapa tutapaka kwa dakika 30, tunaelekea viwanjani, umeonaeeee
Tutajua tuu kupaka rangi kwa ajili ya jamii yetu
Wakina mama nao walikuwa pamoja kufanikisha shughuli nzima hiii
Vijana kutoka dogodogo arts group wakiwa kazini
Project officer wa mradi wa WAJIBIKA PROJECT MBEYA akipaka rangi
Tukamaliza mapinduzi ikaanza safari ya kwenda viwanja vya nzovwe
afisa mazingira wa JIJI la Mbeya akitoa elimu kwa wananchi
Mkurugenzi wa T-MOTIONS akitoa maelekezo namna vijana wanavyoweza kutumia fursa
Team ya kwanza ikawepo BOMBA FM na Team ya pili ROCK FM kuzungumzia masuala ya mazingira kiujumla katika jamiii
Jengo la shule baada ya kupakwa rangi likionekana vyema
Afisa afya akipanda mti katika shule ya JITEGEMEE
Project office akipanda mti kwa kuhamasisha utunzaji mazingira
No comments:
Post a Comment